MTANZANIA JENIFER SHIGOLE ASHINDA DOLA LAKI MOJA NA NUSU NCHINI MOROCCO
Pads technology kutoka Tanzania ambazo unaweza kuzitumia na Kufua kwaajili ya kutumia tena hapo baadae |
Antony Maunde akipokea cheti alichoshinda mjasiriamali na mkurugenzi wa kampuni ya Malkia Investments ltd. Bi Jenifer Shigole katika tuzo za African Entrepreneurship Awards zilizofanyika nchini morocco na kuibuka mshindi wa kwanza kujishindia mtaji wa dola laki moja na nusu.
Mjasiriamali na Mkurugenzi wa kampuni ya Malkia Investment ltd. Bi Jenifer Shigole akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) tuzo aliyoshinda nchini Morocco na kufanikiwa kushika nafasi ya kwanza katika kipengele cha masuala ya elimu na mazingira na kujishindia mtaji wa dola laki moja na nusu. kushoto ni meneja wa programu wa kampuni ya Malkia Investment Juma Rajabu
MTANZANIA JENIFER SHIGOLE ASHINDA DOLA LAKI MOJA NA NUSU NCHINI MOROCCO
Reviewed by Unknown
on
July 11, 2017
Rating:
Post a Comment